Donald Trump Vs Hillary Clinton |
''Tulijadiliana naye kwa saa nne na nusu'',alisema akikumbuka mjadala wao wa wiki iliopita.
''Sifikirii tena kurushiana naye maneno''.alikuwa akizungumza katika ndege yake ya kampeni.
Bwana Trump alitumia mkutano wake huko Gettysburg kuahidi biashara mpya pamoja mazungumzo kuhusu mabadiliko ya tabia nchi.Donald Trump
Ikiwa imesalia siku 16 hadi uchaguzi,mambo mengi yameangazia utata wake unaohusishwa na kampeni yake.
Siku ya Jumamosi ,aliahidi kuwashtaki wanawake wote waliomtuhumu kuwanyanyasa kingono wakati atakapokamilisha kampeni yake ya urais.
Huku akiwa yuko nyuma ya Clinton kwa umaarufu alipunguza pengo hilo kwa asilimia 4.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment