-Kwa Mujibu wa Thomas Malima (Mkurugenzi wa fedha na uchumi) kila pande inaweza kuchukua fedha kutoka akaunti hizo bila kuingiliwa kwa mujibu wa taratibu zao (yaani CUF Bara na CUF Zanzibar kila upande huendesha akaunti bila kuingiliwa na upande mwingine. Alibainisha ''kwa upande wa bara akaunti yetu ipo salama sijui kwa upande wa pili''
-Kwa Mujibu wa Thomas Malima, Ally Mazrui hakidhi vigezo vya kuwa mjumbe bodi ya wadhamini kutoka Zanzibar kwani ni Naibu Katibu Mkuu kwa sasa na Bashange si Mkurugenzi wa fedha na uchumi hivyo hawakidhi vigezo vya kuwa wajumbe wa bodi ya wadhamini.
- Hatua hii inasababisha mmeguko kwa CUF kwani kila upande unaweza kujiendesha bila kutegemea upande mwingine kiuchumi.
- Mbowe aonywa kutojihusisha na mgogoro wa CUF kwani wao (CUF) hawakujihusisha na mgogoro wa CHADEMA na Zitto.
Source: Jambo Leo
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment