Ripoti hiyo imebainisha kuwa ada ya usajili wa kampuni ya kitalii ni Dola 5,000 za Marekani (Sh10,875,000).
Pia, kampuni inatakiwa iwe na magari matano ya kitalii, hali ambayo ni tofauti na usajili unaofanywa nchini Kenya.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:



0 [disqus]:
Post a Comment