Wapenzi wa muziki mjini Mombasa, Kenya, Jumamosi hii walishuhudia moja ya matamasha makubwa zaidi kuwahi kufanyika. Tamasha la Mombasa Rocks, lilimdondosha msanii wa Marekani, Chris Brown kwa mara ya kwanza Afrika Mashariki.
Alisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Vanessa Mdee na wengine. Tazama baadhi ya show kwenye tamasha hilo.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
0 [disqus]:
Post a Comment