viti-vilivyoharibiwa-na-mashabiki-wa-simba
Yanga imechukua hatua hiyo baada ya serikali kuzifungia timu hiyo pamoja na ile ya Simba kuutumia tena uwanja wa taifa wa jijini Dar es Salaam, kwa muda usiojulikana kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mechi yao ya watani wa jadi iliyofanyika Jumamosi iliyopita.
Mechi hiyo ilisababisha hasara ya mamilioni ya fedha kutokana na mashabiki wa timu hizo kuharibu mali za uwanja huo ikiwemo viti na vitu vingine. Soma hapa chini barua hiyo
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment