Kwa upande mwingine kumekuwa zikitolewa sifa zilizopitiliza kwa mawakili na hasa hawa mawakili wa CHADEMA kama wao ni wajuvi sana wa maswala ya sheria
Sasa kwenye hili sakata la Lema wanasheria wa serikali wameamua kuwaonyesha kwamba mambo ya sheria wanayajua sema tu huwa wana amua tu kuwalegezea
Naona sasa wiki ya tatu hii linalojiita Jopo la mawakili wa CHADEMA wanaendelea kusugua gaga na matokeo bado bilabila.
Kulikoni? Vipi bado wansheria wa serikali ni wadhaifu?
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment