KANPUR, INDIA: Takribani watu 95 wafariki dunia, wengine zaidi ya 150 wajeruhiwa baada ya treni ya abiria kupata ajali mapema leo.
Kati ya majeruhi 150, 40 wamejeruhiwa vibaya. Juhudi za uokoaji zinaendelea ili kuiokoa miili mingine takribani 70 ambayo imenasa kwenye vyuma vya treni.
Mji ambao ajali imetokea upo takribani Maili 300 Kusini Mashariki mwa mji mkuu wa nchi hiyo New Delhi.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment