Hii ni mara ya pili kwa Maalim kukwama kufanya mikutano yake baada ya juzi polisi kumzuia tena asifanye mkutano wake mpaka pande mbili zinazosuguana ndani ya chama hicho zitakapokaa na kukubaliana.
Maalim Seif ambaye alikuwa afanye mkutano wake wa kwanza katika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi na wa pili Lindi mjini, yote ilishindikana.
Kamanda wa Polisi mkoa ni Lindi, Renata Mzinga alipoulizwa sababu za kuzuia mikutano hiyo alijibu kwa kifupi tu kuwa ni sababu za kiusalama.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment