Akizungumza leo (Jumanne) wakati wa kufungua mdahalo wa wanafunzi wa sekondari mbalimbali za jiji Dar es salaam, Profesa Ndalichako amesema mwanafunzi anatakiwa kuadhibiwa baada baada ya bodi ya shule kujadili na kufanya maamuzi.
Waziri huo amewataka wanafunzi kuwa makini kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii kwa sababu katika mitandao hiyo kuna mijadala na picha zinazokiuka maadili ya nchi.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Binto Musa Binto amesema tatizo kubwa linalosababisha mmomonyonyoko wa maadili katika jamii ni kukosa uwezo wa kichambua athari mbaya na nzuri zinazotokana na utandawazi.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment