Akihutubia mkutano wa hadhara katika Manispaa ya Moshi jana, alisema hatua hiyo itasaidia kupunguza makundi mabaya ndani ya jamii.
Michael alisema siku zote amekuwa akiwapigania wafanyabiashara hao na kuwawekea mazingira rafiki kwa ajili ya biashara zao lakini walikuwa wakisumbuliwa, hivyo kauli ya Rais itawafanya wawe huru.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment