Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Ali Hapi amesema huenda fedha hizo zinahujumiwa na baadhi ya watumishi wa halmashauri ama kampuni hiyo imegoma kuzilipa kwa makusudi.
"Wanaohusika na kutokusanywa kwa mapato hayo amekwamisha jukumu la Serikali kuwahudumia wananchi kwani fedha hizo zinaweza kutekeleza miradi ya maendeleo kama ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya 40,"amesema Hapi
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment