SUDANI KUSINI: Mapigano yazuka tena baina ya pande hasimu. Milio ya risasi yasikika katika mji wa Yei uliopo kusini magharibi mwa Juba.
Vikosi vitiifu kwa Riek Machar, vinasema kwamba vikosi vya Serikali viliwashambulia katika maeneo yao siku ya Jumamosi.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment