ARUSHA: Mwanamke mmoja amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba yake na maduka matatu baada ya kutofautiana na mume wake.
Mama huyo alihamisha watoto wawili wa kike anaowalea huku akimfungia mtoto mwingine wa kiume ndani kabla ya kulipua nyumba hiyo.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment