Waziri Nchemba amesema…
’Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni, miongozo na taratibu. Wale wanaobainika kukiuka maadili ya jeshi huchukuliwa hatua kwa kuwapa adhabu mbalimbali ikiwemo kuwafukuza kazi‘
‘Mtu yeyote anayeona kuwa anaonewa anapaswa kuwasilisha malalamiko yake katika vyombo vya kisheria pindi anapoona hatendewi haki kutoka kwa Polisi kwa mujibu wa sheria za nchi‘ –Waziri Nchemba
Kuhusu tuhuma za Polisi kuwakamata wanasiasa na viongozi wa dini kisha kuwaweka rumande kwa muda mrefu? Waziri Nchemba kasema…
’Jeshi la Polisi halikamati watu kwa itikadi ya dini zao bali huwakamata kulingana na makosa yao na kuwafikisha mahakamani‘
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment