BUKOBA: Watu 3 wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kukutwa na hatia ya vitendo vilivyokuwa vimekithiri mwaka jana vya kuchoma makanisa.
Pia wanakabiliwa na mashtaka mengine ya mauaji kwa kuwakata watu makoromeo ambayo inasikilizwa na mahakama kuu kanda ya Bukoba.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment