Linah amesema anajua kwamba Shebby aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke huyo na alizaa naye ingawa kwasasa wameachana hivyo haoni tatizo yeye kuwa na Shebby.
Sikia nikwambie Soudy, hata kama watu waliona hizo picha wanajua ilikua ni lini? na kama amemchumbia kwanini mpaka sasahivi hawako wote, inamana kuna tatizo. Mimi ni kioo cha jmamii siwezi kua na mahusiano na mtu bila kujua background yake ikoje. Ndiomana nilivyoona hivyo vitu nikachukulia kawaida sababu najua kila kitu kinachoendelea:- Linah
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment