RC Gambo wakati akiwa kwenye kikao na wafanyabiashara amelizungumzia hilo pia na kusema watu wapuuze taarifa zilizotolewa kwenye mitandao kwamba ametenguliwa kwenye nafasi yake na amesema Rais amempigia simu akamwambia anamwamini na ataendelea kukaa Arusha kwa ajili yakufanya kazi kwa ajili ya wananchi. Sikiliza hapa Chini:
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment