Mmoja wa walioalikwa katika mkutano huo ni mwenyekiti wa chama cha Labour Kenya, Ababu Namwamba, mbele ya waaandishi wa habari Namwamba ameulizwa jinsi Wakenya wanavyochukulia utendaji wa Rais Magufuli, Namwamba amesema…
"Kuna sifa zimeenea kule Kenya kumekuwa na harakati za kupambana na ufisadi, harakati za kupunguza gharama za shughuli za umma, jina lake liko kule linavuma kule Kenya lakini swali kuu katika fikra za wakenya ni kuwa haya mambo tunayoyasikia katika vyombo vya habari ni porojo au propanganda au ni masuala yanayobadilisha maisha ya Watanzania, ingawa sifa za Magufuli zinaenea huku na kule tungependa kuona mabadiliko halisi hapa Tanzania mfano takwimu za ufisadi umepungua, takwimu za kuonesha hali ya maisha ya mtanzania yamebadilika‘
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment