Vyama hivyo vimeeleza kuwa wajumbe wao waliokuwa halali kupiga kura walikuwa ni wengi kuliko wale wa CCM na ndio maana Mkurugenzi akachukua hatua hiyo ili kuisaidia CCM kushinda.
Mbunge wa Kawe na Kiongozi wa Madiwani Manispaa wa Kinondoni, Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari baada ya Madiwani wa UKAWA kususia uchaguzi wa Meya.
Halima MdeeMwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari baada ya chama hicho kususia uchaguzi Meya wa Kinondoni- @ChademaMedia pic.twitter.com/qUSu7Pdydm— Swahili Times (@swahilitimes) October 23, 2016
Video: Mbunge wa Kawe, @halimamdee akielezea sababu iliyopelekea Madiwani wa UKAWA kususia uchaguzia wa Meya wa Kinondoni- @ChademaMedia pic.twitter.com/ZITUfLk7qE— Swahili Times (@swahilitimes) October 23, 2016
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment