“Sijui kama amepoteza mbinu zake na sifikiriii kama amebadili falsafa au mbinu zake, nafikiri amekuwa akiendelea na utaratibu wake wa kupambana siku zote kama kawaida, huenda ni mapokeo ya wachezaji unajua kizazi cha soka cha sasa hivi kimebadilika kabisa”
“wakati tupo Inter kila kitu kilikuwa kinaenda sawa na mapokeo yalikuwa mazuri na kwa haraka sasa hivi kizazi kimebadilika, nahisi kuna wachezaji ambao inawezekana wakawa hawamuogopi na wanaweza kusimama na kuongea chochote kitu ambacho nahisi kinafanya mambo kuwa magumu zaidi”
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment