BASATA wamesema kuwa wimbo wa Nay wa Mitego 'Pale Kati' licha ya kufanyiwa marekebisho mara mbili lakini bado haufai kwa jamii hivyo umepigwa marufuku kuchezwa tena.
Unawaunga mkono BASATA katika hilo?
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment