Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema tukio la askari kujiua limetokea leo saa 4:15 asubuhi katika kituo cha mafuta cha BMC Mlimani kilichopo mtaa wa Bugando ambapo askari huyo alijiua kwa kutumia silaha aina ya Shortgurn.
Msangi alisema taarifa za awali zilibaini kuwa askari huyo alionekana akizungumza na simu kwa muda mrefu kana kwamba kulikuwa na tatizo lililokuwa linamtatiza na baada ya muda alizunguka nyuma ya kituo na kujipiga risasi kifuani hivyo kusababisha kifo chake.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment