Habari zilizoenea katika mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wa ndani ya Yanga leo August 15 2016 ni kuwa mwenyekiti wao Yusuph Manji anajiondoa rasmi na kuachia nafasi ya uenyekiti wa Yanga kwa sababu ya maneno kuwa mengi na kudai kusemwa na wanasiasa kuhusu wazo lake.
Sababu mbili zinazodaiwa kumfanya Yusuph Manji amejiondoe ndani ya Yanga ni kusemwa na baadhi ya viongozi wa serikali na baadhi ya viongozi wa Yanga ambao wanatajwa kutumiwa na baadhi ya wafanyabiashara kwa maslahi yao binafsi, bado Manji hajatangaza rasmi kupitia vyombo vya habari.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment