Kauli hiyo imetolewa mapema leo na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ikiwa ni katika maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo huadhimishwa ifikapo Desemba Mosi ya kila mwaka.
Mwalimu alisema utaratibu huo umekuja ili kuwafanya wenye maambukizi waweze kuishi maisha marefu na yaliyo na afya bora.
"Maelekezo ya Shirika la Afya Duniani (WHO) yanazitaka nchi zetu kuwaanzishia dawa mara moja watu wote watakaopima na kugundulika wana VVU, yaani “Test and Treat”," alisema Mwalimu.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
0 [disqus]:
Post a Comment